Dish
JF-Expert Member
- Jun 3, 2019
- 624
- 922
Ile faul ongekuwa Diarra angeificha! Haikuwa kick ya kuitema tuongee ukweli cha kushangaza yeye kaitema! [emoji119]
Mmeanza kuleta udunduka na ugongowazi hadi Afcon [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile faul ongekuwa Diarra angeificha! Haikuwa kick ya kuitema tuongee ukweli cha kushangaza yeye kaitema! [emoji119]
🤣🤣🤣🤣 PiidizzoHahahahaaa
Isitoshe ni aibu kwa Morocco kuwa 1-0 up hadi sasa tuna bahati sana.Sasa mtu mnalaumu kocha
Timu nzima mchezaji ni samaatta na Novatus dismas
Wengine woote hamna kitu
Morocco wana mtu anaanza PSG, wana mtuu anaanza Sevilla, wana mtu anakuwa kwenye rotation man united
Wana mtu anaanza bayer munich
Mnataka nini watanzania
Kwangu mimi wakifungwa chini ya 2 goals wamejitahidi
Mnataka mchange history na nan? Haji mnoga?😂😂😂 acheni utani waheshimuni morocco
Inategemea na mpira umekujaje mr Uto...Ile faul ongekuwa Diarra angeificha! Haikuwa kick ya kuitema tuongee ukweli cha kushangaza yeye kaitema! 🙌
Sioiliza TV tbc wanawapongeza kwa kuppunguza magoliIsitoshe ni aibu kwa Morocco kuwa 1-0 up hadi sasa tuna bahati sana.
Half-Time analysis
Taifa Stars wapo disjointed na hawana viungo imara wenye kusaidia mashambulizi hivyo tutaendelea kucheza mchezo uleule wa kipindi cha kwanza.
Morocco wana timu yenye wachezaji wenye kuunganisha mashambulizi, kutafuta vyumba na akina Ziyech kuwa na nafasi za kufunga au kusababisha magoli.
Lakini Morocco wana dharau sana wamekodi hoteli yao peke yao mbali na kambi nzima ya timu zote za kwenye kundi.
Morocco ni timu iliyopo kwenye nafasi ya 22 kwenye world ranking, Tanzania ni ya 131!
Kwenye bara la Afrika CAF ranking Morocco ni ya 2 na Tanzania ni ya 36.
Tungojee kipindi cha pili chaja.
Hasinzii mtu hapa hadi tuwafunge Morocco😀sawa haina shida mi nimekuamsha tu ulikuwa unasinzia
Mkuu unaweza kadiria lile shuti?Ile haikuwa freekick ya kutema, tuongee ukweli
Mwanyeto na bacca leo hawaonekanii km wao ndo wanao imbwa hapa nchinii, maana kwa Zimbwe hatushangaii kila siku wana mnanga.Hao nao washamuona wa maana..wkt kule kwao kikosi kizima kinacheza nchi zinazojielewa...mabeki visiki...hapo wamemweka Mwanyeto....
Bila shaka hujawahi kuwa golikipa.Hakupanchi vizuri,ilitakiwa apanchi kutoa nje,yaani kulia kwake,kupanchia ndani ni pass kwa adui ambaye ana advantage ya kulitazama goli wakati faulo inapigwa
Kwahiyo huko kwenye timu ya mali wakifungwa utasemaje?Kwenye ukweli tuweke wazi, mabeki kule nyuma hakna kitu, hata awe De gea angefungwa tyuuh.
Huyo Diarra ndani ya kikosi chake cha Taifa kuna watu wa maana.
Mbna akiwa Yanga anafungwa, km kweli yeye ni mkalii hivyoo?
HahahHasinzii mtu hapa hadi tuwafunge Morocco😀
Ndo maana tunasema mpr wetu ni siasa nyng tu.Sasa mtu mnalaumu kocha
Timu nzima mchezaji ni samaatta na Novatus dismas
Wengine woote hamna kitu
Morocco wana mtu anaanza PSG, wana mtuu anaanza Sevilla, wana mtu anakuwa kwenye rotation man united
Wana mtu anaanza bayer munich
Mnataka nini watanzania
Kwangu mimi wakifungwa chini ya 2 goals wamejitahidi
Mnataka mchange history na nan? Haji mnoga?[emoji23][emoji23][emoji23] acheni utani waheshimuni morocco
Mtatoboa siku ccm ikiondoka madarakaniBro unafikiri tutatoboa?
anataka apunguze magoli ya kufungwa ili wakija akina zambia awapige za usoTatizo letu tunapiga sana pasi ambazo sio strategic tofauti na wenzetu ambao wanapiga pasi zenye malengo.
Kingine ni usahihi wa matendo,hizi long balls tunazopiga sio zenyewe kabisa.
Alafu sidhani kama hii plan ya kupack bus ni nzuri
Aise leo sijuagi jinsi makipa wabovu wanavyokua, kwa shabiki asiyemjua diarra hawezi kuelewaMmeanza kuleta udunduka na ugongowazi hadi Afcon [emoji23]