cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Huyo Diarra kaficha ngapiii? Leo kipa mnamuonea, wachezaji wa ndani ni mizigoo.Ile faul ongekuwa Diarra angeificha! Haikuwa kick ya kuitema tuongee ukweli cha kushangaza yeye kaitema! [emoji119]
Kwanza mbna kajitahidi, kuna saves 2 za Ziyech kazifanya hilo huoni?