FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Ile faul ongekuwa Diarra angeificha! Haikuwa kick ya kuitema tuongee ukweli cha kushangaza yeye kaitema! [emoji119]
Huyo Diarra kaficha ngapiii? Leo kipa mnamuonea, wachezaji wa ndani ni mizigoo.

Kwanza mbna kajitahidi, kuna saves 2 za Ziyech kazifanya hilo huoni?
 
Mwanyeto na bacca leo hawaonekanii km wao ndo wanao imbwa hapa nchinii, maana kwa Zimbwe hatushangaii kila siku wana mnanga.
Nashangaa kwa askari wa JKU [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzio wao wa mabua...
 
Nyie mnaoilaumu Stars mnadhani kuna kitu watafanya zaid ya walichofanya 1H?
Shida mna expectations kubwa
To me wamecheza vzuri tumepunguza magoli
Hatujacheza vzr sema tumeweka watu nyuma kujilinda ambayo pia haijazaa chochote tumefungwa.

Kucheza vzr gani tunacheza back passes mda wote..utaita umecheza vzr huko?
 
Sasa mtu mnalaumu kocha

Timu nzima mchezaji ni samaatta na Novatus dismas

Wengine woote hamna kitu

Morocco wana mtu anaanza PSG, wana mtuu anaanza Sevilla, wana mtu anakuwa kwenye rotation man united
Wana mtu anaanza bayer munich

Mnataka nini watanzania
Kwangu mimi wakifungwa chini ya 2 goals wamejitahidi

Mnataka mchange history na nan? Haji mnoga?😂😂😂 acheni utani waheshimuni morocco
Daa. We jamaa. Ila ni ukweli mchungu, wacha tuumeze tu kama dawa.
 
Huyo Diarra kaficha ngapiii? Leo kipa mnamuonea, wachezaji wa ndani ni mizigoo.

Kwanza mbna kajitahidi, kuna saves 2 za Ziyech kazifanya hilo huoni?
Huyo ni Utopwizo aliekubuhu...
 
tuliombali na luninga ni app gani inafaa kutumia kuangalia kipindi cha pili wanasports
 
mpaka dk ya 80
TTutakuwa tumepigwa 3 tayari
naskkitika baadhi yao humu watakuwa wanakoromaa huku tukiongeza dompo...kwa heshima ya hakim.....

twende 2ht
 
Mtoto wa bongozozo
GEEB0oFWkAAxPGE.jpeg
 
Uoga unatuponza hauoni faida ya wachezaji kucheza Ulaya Ni aibu kubwa kama kocha hata badilisha mfumo na mbinu.
 
Ujue sisi watanzania shida yetu ni moja kiukweli sisi uwezo wetu mdogo ila tunajipaga High expectation
Hii mentality itatutesa

Hata wakubwa walioteleza ...wadogo ndio walikaza wakacheza vizuri.....sisi tunafuata mfumo wa matokeo yalivo mabaya kwa wakubwa bila kujijudge uwezo wetu

Sisi tuna samata😄😄tunatamba na kujipa high expectation..je wenzetu wenye ziyech watasemaje
 
mwenhe vid ya goli tuwekeane kukumbushanaa
 
Back
Top Bottom