FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Nashindwa hata nisemeje, naona fighting spirit ipo chini ila tukikaza tunaweza

Na nyie mnaochanganya mambo ya mpira na CCM mnazingua,
Wakifanya kitu lawama, wasipofanya kitu lawama.
Wabongo hawaeleweki mkuu.

Timu ya taifa hatuna mkuu.
 
Kumbukumbu: November 21 mwaka 2023 Taifa Stars ikicheza na hawa hawa Morocco kuwania nafasi ya kucheza World Cup 2026, Novatus Dismas Miroshi alikula umeme dakika ya 65 na tulifungwa 2-0 pale kwa Mkapa
Jamaa ana shida gani?!
Huyo dogo nikajua labda alijifunza ...hivo professional player unaweza kusahau hio kitu kweli [emoji23]
 
Yani kuna faulu za kimbanga, ingekuwa angalau amemvunja mguu Hakimi akae benchi miezi 6 ingeleta maana
 
Kocha angekuwa na akili, angemtoa huyo Miroshi, abadilishe formation, aingize kina Kibu huko.

HATUNA KOCHA. Period
Yaan hii kitu ndo nilikuw nawaza
Kocha angeangalia hawa watu (miroshi,himid,samata na winger yule mwarabu) achange formation
Weka winger uhakika mwenye mwendo na anayeweza kukaa na mali kibu angesaidia japo kidogo

Ila bado nafasi ya kujifunza ipo
 
Mama nibebe hadi AFCON kumbe, waarabu wanabebwa
 
Hah

Haha huyo mm nilimuweka kapu moja la anytime red card na mwenzake novatus [emoji23][emoji23]. Hela tu sina ningebet hata laki 5
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hatariiiii
 
Huyu mapank haji ni miaka 19 kweli mbona kama hata mbio ajui, inabidi wachezaji wote wawe wananyoa kiheshima Wanaweza wakawa na akili ya mpira
 
Back
Top Bottom