FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Afanyejeeeeee? Mabeki wamepoteanaaaa kabisaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua kama Kipa yeye anaona vizuri mpango wa mabeki.

Naona hana juhudi kabisa za kuwapanga mabeki
 
Huwa kwenye ligi ni foreigners wanaibeba nchi, otherwise locals hamna kitu.
 
Dah 😪😪
IMG_9415.jpeg
 
Hivi huyu kocha hajui kuwa kama kuna mchezaji kashapewa kadi ya njano kwenye mechi kama hii ni kumtoa ..ni risk kumwacha aendelee kucheza ...
 
Swala sio stars kushinda ukweli ni kwamba sioni spirit kwa wachezaji wa stars wanaoweza kujituma kupambania ushindi kina samata wenyewe wamelizika hatar bora kocha we2 kishajitetea mapema ye hataki ushindi anataka uzoefu [emoji23]
Hamna spirit kabisa.

Ni kama wachezaji wamekusanywa kitaa wakaambiwa njoo mcheze.
 
Back
Top Bottom