Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Yan refa katustahi sana Mao tu 1st half alikua anakula umeme.Walijua wapo NBC PL refa Kayoko atapeta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yan refa katustahi sana Mao tu 1st half alikua anakula umeme.Walijua wapo NBC PL refa Kayoko atapeta
Kwanini wasirudi?Warudi Tanzania au mmewakata.
Kwanini wasipangike?Hakina Mzee Hussein wanapangika kweli!
Lengo lilikuwa kushinda Afcon kweli au kutoa point za bure
Wachaga na mpira wapi na wapi labda uwizi au wa Mali za imma na ukabilanovatus anatugarimu, siku nyingine tumfikirie kama ana nidhamu ya mpira au la.
Toka lini Zambia mnyonge?Wakuu inabidi mnyonge wetu Zambia tumpige Goli 4
Yan mkuu tena ya wazi kbs maana krbia kwenda half time akaenda tena cheza rafu nyngne ya kuingia uvunguni tena miguu yote.. Refa akafumba tu macho ilikua umeme.Refa alimsamehe ila ilikuwa kadi
Wakiongozwa na MwamnyetoHao mabeki au mapazia?
Ndio walitakiwa walijue hilo kuwa in order to get something game iishe with 11 players on the fieldKadi nyekundu ndio imeloga kila kitu ikewatoa mchezoni
Manula ...katuchoma [emoji23][emoji23]Leo upo live makubwa haya....
Samaleko...
😂😂😂😹Hio playstation mama…e
View attachment 2874829
Askari wa JKU hajui hata kumzuia Adui, Muarabu anaingia had kambini kwakee.Hao mabeki au mapazia?
Huyo jamaa hafatilii mpira, anawachukulia poa ChipolopoloToka lini Zambia mnyonge?
Kocha hana niaKibu hajaingia?
Watu wa simba bwana! 🤣🤣🤣🤣Wakiongozwa na Mwamnyeto