FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Na Badoooo, nyambafu.
Ili soka liendelee bongo, siasa na kujuana juana wekeni pembeni la sivyo mtakuwa VIBONDE STARS dadadekii
 
Ile ndio imewatoa mchezoni chuma 2 zikaingia
Hamna bwana hatuna quality tuu. Kwanza kwa nadharia ya mpira losing a player doesnt effect a team defensively, it impacts a team offensively since they have one less passing option.

Wee areigo sacchi alipanga defense yake ya watu wanne dhidi ya wachezaji 10 na hawakufunga and mind u this was the great milan side of 1989
 
Madhara ya kuingiza siasa kwenye kila kitu ndo haya
ccm ndiyo wametufikisha hapa. Wao wameona wawekeze kwenye uchawa na kuiba kura ili waendelew kubakia madarakani.

Imagine nchi ina watu zaidi ya milioni 60, halafu inakosa wachezaji bora 23 tu wa kutufanyia mambo makubwa katika soka. Aibu iliyoje hii.
 
Back
Top Bottom