FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Nina majembe matatu nimeyapeleka academy hayo ndio yatawaokoa watanzania.
 
Magoli yote umeyaona lakini...
Umeona namna Mabeki walivyokuwa wanajiweka eneo la hatari?

Lile goli la pili je?
Sio mabeki, sio Kipa...wote hovyo

Mipira ya kudaka kipa anapunch hlf anapunchia ndani ya box

Viungo na strikers ndio hovyo kabisa...wanacheza tu rafu
 
Ukweli usemwe tu Tanzania hatuna timu ya kushinda kombe la AFCON.

Hata tu kuvuka hatua ya makundi itakuwa ngumu.

Tuna timu mbovu ambayo kama nilivyoeleza mchana haina uwezo wa kufanya mashambulizi kutafuta magoli wala uwezo wa kukabili vishindo vya timu kubwa kama walivyofanya wenzetu Namibia, Angola, Msumbiji na Cape Verde

Tujipange upya miaka ijayo kwenye timu hii pale Ivory Coast tutaishia kubana mbupu tu lakini ukweli hatuna chetu[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Hatuna shot on target hata mojaView attachment 2874838
Utasikia mpuuz m1 anakwambia si unaona hawajatuzid sana possession [emoji23][emoji23].

Ww na back passes zetu zile Kwnn tusiwe na possession nyng.

Mpr sisi tunaoweza ni wa hamasa pale wanasiasa wakiona kuna opportunity za kupata political gain kwa kufanya propaganda lkn sio mpr wa uwanjan.
 
mkwasaaa kanichekeshaaa achaa

yaan mechiyaleo tunaokoaa tunaenda kuwapa wao tena hahahaaa tukiweza hata tukipita tenaa tuombee wawape wengine sie tunajenga timu bado

coach kaomba huumzigo wa afcon mzito ssana sio mapinduzi cup ile hahahaaa
 
Tatizo ni kipa MANULA [emoji23]
Vile vitoto vipuuzi vinakaba kwa macho...ila Tanzani ligi yetu inabebwa na kina Chama na Kina Aziz kina Inonga ila zaidi ya hapo ni huzuni kwakweli...
 
Mkuu yaani hata kama kila mchezaji akapewa milioni20 kila mechi kipgo kipo lale pale kila kitu hii nchi ni siasa. Muda ni mwalimu mzuri kila mtu kajionea vijana Walivyo mdebwedo kama darasani ni lile toto linalokaa nyuma halafu halielewi🤣🤣🤣
Timu ukiona Msigwa na Hamis wanavyoipamba unaweza ukadhani ndio imeenda kama bingwa mtetezi.
 
Back
Top Bottom