FT: Tanzania 1-0 Niger | AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 18.06.2023

Niger wanatuandama sana kwenye lango letu
 
Tumekoswa koswa kwa bahati kweli kweli; yaani Niger wamekosa karibu mabao manne ya waziwazi kwa haraka haraka.
 
Huyu kipa wa Singida hana maelewano vizuri na beki zake.
 
Tunafanya uhuni wa USM ALGER kwa kurusha mipira miwili miwili ndani ya uwanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…