FT: Tanzania 1-0 Niger | AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 18.06.2023

Taifa Stars kwenye hizi dakika za mwisho wanachokifanya kule nyuma, ni kama wamelewa pombe ya kienyeji. Wakiendelea hivi, sare inawahusu.

Ahueni Benno Kakolanya ameonesha uhai wa kutosha tu.
 
Tunafanya uhuni wa USM ALGER kwa kurusha mipira miwili miwili ndani ya uwanja
Kumbe ile mechi ya watani ilitupa somo kwenye nyakati za maji ya shingo kama hapa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…