joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Acha wachonge...Watangazaji wa DSTV, wanaikandia sana Taifa Stars...
KabisaFei toto kapambana sana pale
Huyu beki Mnoga ni uchochoro sana
Wapi huko mkuu na walikata saa ngapiTanesco wamerudisha nilikuwa natazama kupitia simu. Go stars. Kila la heri.
Kuna mdau apo juu anamsifia sana etiHalafu kachoka anaonekana...
Haya wameyazoea toka wakiwa kwenye vilabu vyao.Timu inapenda back pass hii 🚮🚮🚮🙌
kabisa bora mnoga atoke maana amekuwa uchochoroToa mnoga weka job