Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja..Refa kamuoneaaaaqq!!!!
Mbona ata sis tulionewaRefa kamuoneaaaaqq!!!!
Mwenyewe kakubali yaisheRefa kamuoneaaaaqq!!!!
Tstar wakimshnikiza refa kumkumbusha jamaa ana njano mbilπ€£π€£π€£Refa kamuoneaaaaqq!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wamepata bhana.Na golikipa naye ni pazia vilevile
Mabeki vilaza
Ma forward ndio vilaza wa kutupwa,akina Samantha sijui..heri wangechukuliwa hata maforward wa ihefu kuliko kikosi watu wanagawana namba kwa kuangalia majina.
Golikipa wa Simba Salim ni mzuri kuliko Manula ..ila kwa sababu wamepeana nafasi kindugu acha wavune walichopanda.
Na golikipa wa Zambia anavyodaka,
Tanzania ni miongoni mwa timu itakayotoka kwenye mashindano haya na magoli sifuri.
Siyo ya uonevuRed Card ya uonevu