Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Safi sana refa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya sasa tushindwe wenyewe tuu.
Red Card ya uonevu
Huyu anaenda kula hamsaHasa hapa tushndwe wenyew
Concentrate kutazama Boli.... Uamuzi aachiwe Mwamuzi na Wasaidizi wake.!Red Card ya uonevu
Aibu ikupate na weweNa golikipa naye ni pazia vilevile
Mabeki vilaza
Ma forward ndio vilaza wa kutupwa,akina Samantha sijui..heri wangechukuliwa hata maforward wa ihefu kuliko kikosi watu wanagawana namba kwa kuangalia majina.
Golikipa wa Simba Salim ni mzuri kuliko Manula ..ila kwa sababu wamepeana nafasi kindugu acha wavune walichopanda.
Na golikipa wa Zambia anavyodaka,
Tanzania ni miongoni mwa timu itakayotoka kwenye mashindano haya na magoli sifuri.
Wamechanganyikiwa, wazambia vurugu ndo asili yaoSiyo ya uonevu
Zambia ni wajinga, wameanza vurugu
Na mimi nimeumia sana nilipomuangalia...sema ndo nchi yangu nafanyajeeeMm ni mTanzaniaila huyu kocha wa Zambia huwa namuonea huruma sana sijui kwann kakaa kuonewa kuonewa kwel😁
Mm ni mTanzaniaila huyu kocha wa Zambia huwa namuonea huruma sana sijui kwann kakaa kuonewa kuonewa kwel[emoji16]
wew bila shaka ni Muhutu wa RwandaNimeghairi nawashangilia Zambia sasaa!! Refa amewaonea wazambia