FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Tanesco wamerudisha nilikuwa natazama kupitia simu. Go stars. Kila la heri. Mtangazaji wa kizungu mara aseme msuva hana timu, mara ataje thamani ya kikosi chetu. Bora kusikiliza waswahili.
Walikata saa ngapi huko mkuu
 
Huyu mtangazaji wa TBC anafurahisha Sana..
 
Back
Top Bottom