Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kila la heri kwa Chipolopolo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zambia ilikuwa miaka ya zamani, stars wakikaza watatoboaFull time Zambia 4-0 tanzania
Tunawahiana mrembo ili majina yetu angalau yakae juu na yawe maarugu humu. Utusamehe bureHivi hizi threads za michezo kuanzisha usiku wa manane ndio nini?
Nimemiss kipindi threads zinaanzishwa karibia na muda wa mechi, homa iko juu tunachangia kwa mihemuko & mchecheto.
Hizi za mapema hadi kufika muda wa mechi tumeshachoka!
tukipigwa 4 mie ntafurahi sanaFull time Zambia 4-0 tanzania
Wanawahiana kuanzisha threads, ili tu mtu awe wa kwanza.Hivi hizi threads za michezo kuanzisha usiku wa manane ndio nini?
Nimemiss kipindi threads zinaanzishwa karibia na muda wa mechi, homa iko juu tunachangia kwa mihemuko & mchecheto.
Hizi za mapema hadi kufika muda wa mechi tumeshachoka!
China walitaka kutaifisha shirika lao la umeme ZESCO na uwanja wao wa ndege kwa maden wanayo daiwa. pamoja na hayo wanaenda kutufungaHivi ni huko Zambia nd0 kuna kipindu pindu au??
Mfungaji atakuwa ni Cloutus Chama?Tamzania tunakula 1 bila
maana yake watu hawataki kukaa na upwiru! wanaushusha fasta..😂Hivi hizi threads za michezo kuanzisha usiku wa manane ndio nini?
Nimemiss kipindi threads zinaanzishwa karibia na muda wa mechi, homa iko juu tunachangia kwa mihemuko & mchecheto.
Hizi za mapema hadi kufika muda wa mechi tumeshachoka!