uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
- Thread starter
- #41
Tunafanya pre-game analysis š¤£š¤£š¤£.Hivi hizi threads za michezo kuanzisha usiku wa manane ndio nini?
Nimemiss kipindi threads zinaanzishwa karibia na muda wa mechi, homa iko juu tunachangia kwa mihemuko & mchecheto.
Hizi za mapema hadi kufika muda wa mechi tumeshachoka!
Watu wa mikeka tunachora mapema sana.