FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Kila la heri Tanzania 💪🏽🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Angalau sasa hivi wanaume tutakuwa na nafuu habari za kuua watu na kuwachoma mikaa kisa 40 missed calls itapungua maana siku hizi tunalia hta kwa vtu vdogo maana kila ninakopita nakutana na hii comment ya wanaume kulia sana
mkuu hii nchi wazalendo tunaumia sana
 
Chonde Chonde Makocha Moroko na Mgunda Chukueni tahadhari na Mabeki wa UTO, ndio huwa chanzo cha Kupoteza mchezo......!

Msiseme hamjatahadharishwa....oohoo!
 
Mitanesco haitaki tushuhudie watu wakibondwa
Ila tunawaambia kipigo kipo palepale

Mungu uibariki Zambia
 
Matokeo ya mechi ya Morocco vs DRC ni mazuri sana kwa Tanzania. Leo TZ inatakiwa ishinde, tutajua DRC tunamkabili vipi, sare na DRC inatuvusha.
 
Mitanesco haitaki tushuhudie watu wakibondwa
Ila tunawaambia kipigo kipo palepale

Mungu uibariki Zambia
Wazambia tunaweza kuwashangaza.
Tulieni muone ball
 
Matokeo ya mechi ya Morocco vs DRC ni mazuri sana kwa Tanzania. Leo TZ inatakiwa ishinde, tutajua DRC tunamkabili vipi, sare na DRC inatuvusha.
Tukishinda Kundi linazidi kuwa ngumu zaidi
 
Hiki kikosi cha leo ndicho hata mimi nilikipanga kichwani kwangu,ngojea tuone uwajani sijui itakuwaje.
 
Back
Top Bottom