FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Zambia wamecheza zaidi ya dk 45 na watu 10. Kumbuka hili. Halafu Goli walilofunga Tanzania halitokani na ufundi wa timu ku-create bali kosa la beki ya Zambia.
 
Tusidanganhane makocha wazawa bado sana yule mwarabu na mapungufu yake advantage ya mechi ya leo lazima angeshinda tu
 
Kosa la msingi hiki kikosi kingeanza na moroko tungeweza hata kutoa sare ila kwa game ya leo stars bado ana nafasi mkuu. Zambia wameponea chupu chupu.
Kwa congo hii iliyocheza na Morocco n jinsi ilivyocheza, tegemea kipigo cha mwizi nitakukumbusha mkuu wewe tulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…