Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Sasa kaka mechi ya Morocco walitegemea Congo angeweza kurudisha goli katika dakika zile na kulazimisha draw katika mechi yao leo? Mpira ndio ulivyo muhimu tuendelee kukaza timu imecheza vizuri tuendelee kuwa makini zaidi tunapocheza kila timu ipo vizuri .Sioni timu ya kumfunga DRC, tupo dhaifu hadi unatamani uwacharaze viboko.
Zambia walishakubali kupoteza hii game, ujinga wetu tu na back passes zisozoisha, kila mtu anarudisha kwa kipa.
Una point 1 Congo ana 2 anajua akikufunga ana point 5 ukimfunga unakua na point 4 sasa unategemea atakuacha umfunge tena umfunge kwa kurudisha nyuma mipira golini kwako? Unarudishaje mipira nyuma wakati unacheza na timu yenye wachezaji pungufu?Labda nafasi ya kujiunga na kidato cha kwanza
Morocco nao wanalia kama sisi tu leo maana Congo wamesawazisha dakika za mwisho kabisa.ndio mambo ya mpira hayo.Kwa congo hii iliyocheza na Morocco n jinsi ilivyocheza, tegemea kipigo cha mwizi nitakukumbusha mkuu wewe tulia
Poor poor poor decision making team....Una point 1 Congo ana 2 anajua akikufunga ana point 5 ukimfunga unakua na point 4 sasa unategemea atakuacha umfunge tena umfunge kwa kurudisha nyuma mipira golini kwako? Unarudishaje mipira nyuma wakati unacheza na timu yenye wachezaji pungufu?
Taifa stars haina ubavu wa kuifunga timu yoyote katika mashindano haya kama tumeshindwa kuifunga Zambia leo basi hata hao Congo hatuwezi kuwafunga kubali kataa.
Hata kama tukishinda game na Congo bado yaaani bado sanaUsihofu nafasi bado ipo
Mkuu sio kwenye afcon ni duniani Tanzania inaongoza kwa back pass alafu inafwatiwa na Man uTanzania ndio timu yenye back passes nying kuliko timu yoyote kwenye afcon hii
Mkuu unaujua mpira kwel wewe ?Nasema kwa sababu nimeona uwezo wa stars leo. Wamecheza vizuri sana na wameumiliki mpira dakika zote 90 .mistakes huwa zinatokea lakini kiukweli taifa stars wamepiga mpira mzuri sana. Kocha atarekebisha next game tukiongeza uwezo kidogo tu zaidi ya leo tunaitoa Congo.
Yanga mwenzangu inawezekana mwanaume mmoja wa simba kakutenda vibaya. Usiwachukie wote. Leo tupo kukandwa kitaifaSamata ni kichwa cha mwendawazimu na honestly this man ni mjinga na anaharibu movement nyingi sana
Sijawahi kuwa na iman na mchezaji yoyote wa SSC
Ni EFL siyo EPL, na alishawahi kukipiga timu moja na Haaland huko Austria, huyo aliyetufungaAliyetufunga anachezea Epl nikisema Epl maanake ni ligi ya kukimbiza mwanzo mwisho.
Banda anachezea serie A maanake ni ligi ya vipaji .
Kwahiyo draw ndiyo uwezo wetu ulipoishia.
Zambia walijua wanachota pointi 3.
Beki ilishachoka viungo walishindwa kusukuma Mpira mbele au kukaa nao kwa muda kadhaa .
Halafu sisi tuna feitoto mzee wa ugali na sukari 😂Aliyetufunga anachezea Epl nikisema Epl maanake ni ligi ya kukimbiza mwanzo mwisho.
Banda anachezea serie A maanake ni ligi ya vipaji .
Kwahiyo draw ndiyo uwezo wetu ulipoishia.
Zambia walijua wanachota pointi 3.
Beki ilishachoka viungo walishindwa kusukuma Mpira mbele au kukaa nao
kwa muda kadhaa .
Ingawa nafasi za kumaliza mchezo tulishindwa kuzitumia .
Zambia wazee wa goli la dakika ya 90Yule Daka yule aisee kichwa kama mshale