Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Hizi hazina madhara paleHizi kona kona hizi mweee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi hazina madhara paleHizi kona kona hizi mweee
mgunda huwapa maneno ya kuwajenga wachezajiSanaaaa
HakikaStars tunapitika kwa urahisi sana
Mnoga toka akiwashe game na Morocco ya Mkapa amekuwa uchochoroMnoga ampishe job mapema Zambia wameshajua kuna njia
Huyu atachoma huyuHuyu tembo Haji mnoga Yuko kuchoma timu, mana ni zito kama tembo ,hafu litoto la miaka 19
Jamaa zito mno hafu Lina miaka 19Huku beki ya kulia kwa Mnoga hakujatulia
KabisaMnoga upande wake bora aingie Job naona Zambia wanautumia sana.
wew uyo mtoto anacheza Basic fotball ni Ngumu sana kumuelewa kama umekariri kujua mpira ni kukimbia sana basi huyu huwezi muelewaHuyu tembo Haji mnoga Yuko kuchoma timu, mana ni zito kama tembo ,hafu litoto la miaka 19