FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Fei hajawahi kufanya vizuri kimataifa.
Anapata mpira hajui apeleke wapi yani!!
 
Zambia waliichukulia hii game poa, hawakuju ipo na akina Mgunda na Mohamed Moroco watoto wa mjin
 
Tanesco wamerudisha nilikuwa natazama kupitia simu. Go stars. Kila la heri. Mtangazaji wa kizungu mara aseme msuva hana timu, mara ataje thamani ya kikosi chetu. Bora kusikiliza waswahili.
 
Back
Top Bottom