Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah mzee kachoka kweli pole yakemwenyewe mkuu...
Hamna leo, samatta anafunguka aendelee kubakiSamata out Morice Abraham in ningekuwa kocha
Red card kahatarisha usalama wa mchezaji mwezake kamgonga kichwaniKama mchezaji wa Zambia kapewa red kwa ile faulo, halafu kwenye VAR wanasema touch ya mwisho aligusa Kibu na wameshindwa kuipa Tanzania foul kick wala kona, ile kadi inakuwaje?
KabisaHaikuwa penalty
KwendraaaKwa mbali naona maono ya Tanzania kufungwa 2:1
Labda Zambia wasawazishe au wafunge 2 ndiyo atatolewa .Huyu beki Mnoga ni uchochoro sana
Wanashindana wawe kwanza kuanzisha uzi.Hivi hizi threads za michezo kuanzisha usiku wa manane ndio nini?
Nimemiss kipindi threads zinaanzishwa karibia na muda wa mechi, homa iko juu tunachangia kwa mihemuko & mchecheto.
Hizi za mapema hadi kufika muda wa mechi tumeshachoka!
KIBU MDA MWINGINE AJIONGEZE ANA UJINGA SANA WAKUJIANGUSHA SEHEM YA KUFUNGA MWANGALIENI HATA SIMBA HUYU NI.MAVI MATUPU
Uko sawa dogo anatukosti sana LeoFei toto kipindi Cha pili hasirudi uwanjani. Anatukaba.
fangasi wa chadema weweKwa mbali naona maono ya Tanzania kufungwa 2:1
Hamnaga jema wabongoKwa mbali naona maono ya Tanzania kufungwa 2:1
Aliyepewa red card kamchezea samata siyo kibuKama mchezaji wa Zambia kapewa red kwa ile faulo, halafu kwenye VAR wanasema touch ya mwisho aligusa Kibu na wameshindwa kuipa Tanzania foul kick wala kona, ile kadi inakuwaje?
Kadi nyekundu alistahiliKama mchezaji wa Zambia kapewa red kwa ile faulo, halafu kwenye VAR wanasema touch ya mwisho aligusa Kibu na wameshindwa kuipa Tanzania foul kick wala kona, ile kadi inakuwaje?