FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Wizara iwekeze ktk soka la mashuleni, UMISETA..Ili tupate wachezaji wenye shule pia...otherwise tutakuwa tunashangalia majirani tu...
 
Haji Mnoga naona hata kocha ailona hamna kazi, Kibu Denis hakuwa na impact yoyote, Mwamnyeto ni prone to mistakes, midfielders wana kazi ya back passes japo Himid kwangu holding midfielder mzuri tu.
 
Kuna mpr wanaocheza team zngne hlf ss kuna Mpr tunaocheza sisi Tz.. Ww mkuu unaona ivo ni vitu sawa?
Stars wamecheza vizuri sana leo na wamemiliki mpira mwanzo mwisho na kupoteza nafasi 2 muhimu ambazo yalikua ni magoli ya wazi kabisa. Natumaini kocha suleiman mmoroko atarekebisha mechi ya mwisho tunamchapa Congo.
 
Mkuu unaanzaje kuumia?
Ivi ulikuwa na matumaini yoyote kwa timu kama hii, ebusemaukweli.
Mkuu hata kama matumaini yalikuwa hafifu ila tunaongoza 1, mpinzani ana red card, lazima matumaini yaongezeke yawe juu.
Ivi tulipiga mashuti mangapi golini tulipo cheza na moroco.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Leo haikupaswa kuwa hivi iwapo tu wachezaji wangejituma. Tungeshinda.
 
Stars wamecheza vizuri sana leo na wamemiliki mpira mwanzo mwisho na kupoteza nafasi 2 muhimu ambazo yalikua ni magoli ya wazi kabisa. Natumaini kocha suleiman mmoroko atarekebisha mechi ya mwisho tunamchapa Congo.
Huwezi kuwafunga congo kamwe
 
Back
Top Bottom