FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Zambia wasingepata kadi nyekundu wangetupiga 3

Lakini kumbuka kadi nyekundu wameipata dakika ya 44 tukiwa tunaongoza bao moja na pia tunaongoza kwa umiliki wa mpira.

Nafikiri sababu kuu ya kuruhusu wasawazishe nikutokana na kuridhika na goli moja na kuona tuna advantage ya kuwa wengi kuliko wao

Kitu kilichopelekea tuwe na kiburi cha kucheza mipira mingi eneo letu kama njia ya kupoteza muda.
 
Mbona hampeani moyo wazalendo 😃😃
Bafana bafana.. ni muda sasa wa kuzima Tv.
 
Tanzania can't win even against 10-men Zambia..... The most useless team in the history of the game 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂... Tanzanians should just focus with farming, football is not their thing
MUDATHIR, FEISAL WARUDI PAJE KULIMA KARAFUU, MANULA ARUDI MORO KUNA MASHAMBA MAKUBWA KULE, MWAMNYETO ARUDI TANGA AKACHEZE BAO.
 
Back
Top Bottom