fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ¤£ðŸ¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ¤£ðŸ¤£
Yaani hathubutu kukaba hata kidogo,Striker ambaye ni nahodha wa timu hajaifungia goli kwa miaka karibia 4 na anavyocheza utadhani kuna jambo la maana anafanya uwanjani.
Samatta mechi ijayo apewe dakika 20 tuYuko mwamba anacheza kibishoo kweli yani
Yaani hathubutu kukaba hata kidogo,
Hana mbio kama vile amefungiwa jiwe.
Abarikiwe Msuva
Mbele ya makocha wa sasa, atacheza dkk 90. Hakuna mwenye ubavu wa kumuweka benchi.Samatta mechi ijayo apewe dakika 20 tu
Aisee, hii ndio moja ya changamoto kwa makocha wazawaMbele ya makocha wa sasa, atacheza dkk 90. Hakuna mwenye ubavu wa kumuweka benchi.
Kuna yule winga wa kushoto alicheza mechi ya kirafiki na Misri kama mwarabu hivi, mechi ya leo angeimaliza mwenyewe, ila wameleta uswahili anasugua benchi na sidhani kama mechi ijayo watampanga.
Msuva mwenyewe hamna kitu huwa ana vibahati vya kutupatia vigoli vya hapa na pale tu.
Kulikuwa na ulazima gani Samatta na Msuva kumaliza?Hivi sisi watz investment ktk football tunategemea kupata matokeo mazuri hicho kitu hakipo tusilaunu wachezaji makocha uwekezaji wa long and medium terms huko chini sana angalia kocha kama wa Zambia aliwahi kuwa kocha wa Chelsea hawa akina Mgunda tunawaonea tu
Malengo yaliyeyuka gafla tu.Mimi ni mmoja wao ambao tuliamini tulikuwa na nafasi nzuri sana ya kumfunga Zambia leo kabla ya mechi na wakati wa mechi.
Matumanini yangu yalianza kukata kipindi cha pili kilipoanza nilipoona timu inacheza bila malengo.
Wanangu wa Zambia wameifanya kazi njema japo walikuwa kinyonge pungufu uwanjani.
Tunawafunga kama walitoka draw na zambia hii tuliyoihenyesha leo hawana maajabu.
Mwaka huu tunalingana tu sijaona cha zaidi.
Zambia wamecheza zaidi ya dk 45 na watu 10. Kumbuka hili. Halafu Goli walilofunga Tanzania halitokani na ufundi wa timu ku-create bali kosa la beki ya Zambia.
Mtoboe nini?Haina shida mechi na Congo tunatoboa.hakuna kukata tamaa
Eti mgunda kapita mulemule,kapanga kikosi walichopanga kichwani 🤣🤣Wanakwambia leo hiki ndio kikosi
Leo hisia zinasema tunashinda
Matokea yake wameambulia kushinda njaa