FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Striker ambaye ni nahodha wa timu hajaifungia goli kwa miaka karibia 4 na anavyocheza utadhani kuna jambo la maana anafanya uwanjani.
Yaani hathubutu kukaba hata kidogo,
Hana mbio kama vile amefungiwa jiwe.
Abarikiwe Msuva
 
Yaani hathubutu kukaba hata kidogo,
Hana mbio kama vile amefungiwa jiwe.
Abarikiwe Msuva

Samatta mechi ijayo apewe dakika 20 tu
Mbele ya makocha wa sasa, atacheza dkk 90. Hakuna mwenye ubavu wa kumuweka benchi.

Kuna yule winga wa kushoto alicheza mechi ya kirafiki na Misri kama mwarabu hivi, mechi ya leo angeimaliza mwenyewe, ila wameleta uswahili anasugua benchi na sidhani kama mechi ijayo watampanga.

Msuva mwenyewe hamna kitu huwa ana vibahati vya kutupatia vigoli vya hapa na pale tu.
 
Hivi sisi watz investment ktk football tunategemea kupata matokeo mazuri hicho kitu hakipo tusilaunu wachezaji makocha uwekezaji wa long and medium terms huko chini sana angalia kocha kama wa Zambia aliwahi kuwa kocha wa Chelsea hawa akina Mgunda tunawaonea tu
 
Aisee, hii ndio moja ya changamoto kwa makocha wazawa
 
Hivi sisi watz investment ktk football tunategemea kupata matokeo mazuri hicho kitu hakipo tusilaunu wachezaji makocha uwekezaji wa long and medium terms huko chini sana angalia kocha kama wa Zambia aliwahi kuwa kocha wa Chelsea hawa akina Mgunda tunawaonea tu
Kulikuwa na ulazima gani Samatta na Msuva kumaliza?
 
Mimi ni mmoja wao ambao tuliamini tulikuwa na nafasi nzuri sana ya kumfunga Zambia leo kabla ya mechi na wakati wa mechi.

Matumanini yangu yalianza kukata kipindi cha pili kilipoanza nilipoona timu inacheza bila malengo.
Malengo yaliyeyuka gafla tu.
Baraki Nondo akaamini nayeye naweza kuwa straiker 🤣
 
Back
Top Bottom