FT: TRA 0-0 Yanga SC | Ligi Kuu NBC | 24 Oktoba, 2026 | 10:00 Jioni

TAYARI KOCHA KALA NYEKUNDU
 
Hapo ndio utagundua kuwa kwa kikosi kipana Yanga imeizidi Simba pakubwa sana, ila kocha hamna. Kocha wa Simba sub zake ni chache mno lakini unaona timu yake kuonesha kuimarika. Ila Yanga yenye kikosi kipana ndiyo inazidi kuwa mbovu siku hadi siku.
Upana wa kikosi ni jambo moja na ubora wa wachezaji ni jambo jingine!
 
Shasha hakuwepo na Cheketure na Bishoo Albert wako wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…