mtzedi mie kwangu nina Kisimbuzi cha Azam Pekee na ndo nachekia hizo mechi huko.Boko ndo aliwabeba wale kwa Mkapa watakutana na mtema kuni mwenyewe. Hivi mechi ya Shirikisho inarushwa na Dstv au huwa wanarusha Klabu bingwa tu? Shadeeya
Yanga anapigwa 3Jamani tunapooza pooza ngenga
Sifahamu bossNa africain alipewa odds ngapi!?
Niite maua sama mkishindaYanga anaenda kushinda bao moja leo.
Bao litafungwa na Yannick Bangala, dakika tu ndio siijui yangapi.
Mimi Azam pureLeo ndio mnalitambua ilo makolo?
Azam picha zao za nje ya Tanzania hazieleweki Rejea mechi ya Simba walicheza Malawi.mtzedi mie kwangu nina Kisimbuzi cha Azam Pekee na ndo nachekia hizo mechi huko.
Sasa sijui kama na hao Dstv wanaonyesha ama la. Ngoja waje wenye Dstv watukhabarishe.
Kweli kabisa na hata mechi ya jana ya 5imba na Horoya picha zilikuwa mbovu mbovu ila ndo hivo sikuwa na jinsi.We
Azam picha zao za nje ya Tanzania hazieleweki Rejea mechi ya Simba walicheza Malawi.
Kiherehere chake tu huyu mkia mwenzako na kama kawaida yake anaenda kuangukia pua[emoji23][emoji23]Kulia kupokezana..sema wataukimbia huu Uzi na ni Bora ulivyowasaidia kuuanzisha..
Kaa kwa kutulia ujionee mwenyewe usiandikie mate na wino ungalipo mzee wa bwaksiBada ya Jana wale wazurulaji wa kimataifa kuliaibisha taifa, leo mabingwa wa nchi na timu ya Wananchi wa Tanzania Young Africans Leo wanaenda kulipa taifa raha[emoji123][emoji123][emoji1732][emoji1732]
Hii ndio logic? hii forum ina wajinga wengi sana.Duh! Mbona toka mwaka umeanza huandiki logic?
Kwamba uzi kuanza mapema ndiyo washinde
Yanga kule yupo kama ihefu ata kwenye betting kapewa odds 5
Means ni mdaifu atafungwa ata 4
Huyo ni mzoefu wa kuanzisha nyuzi za Yanga na kutokomea maporini pale Yanga anapofanya vizuri kwenye mechi hizo.Sina imani na muanzisha uzi ni mimi peke yangu?
UnatakakusemajeHii ndio logic? hii forum ina wajinga wengi sana.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app