FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Afu walisema Jangwani kutakuwa na big screen

Inamaana aibu hii watu watajionea kwa ukubwa wa kutosha
Mkuu hapo Kuna aibu gani? We huone boli linatembea and at anytime goli zinaweza kurudi[emoji23][emoji23]
 
Gomez wa Singida Big Stars aelezea mpira wa ligi ya Tanzania ni nguvu nyingi na faulo kibao lakini ligi zingine ufundi na akili ndiyo hutawala.

Hapo ndipo timu zetu za Tanzania zikienda kimataifa tunapata taabu na mateso
 
Monastir wanatumia tu madhaifu ya wachezaji wa Yanga. Ufupi wa wachezaji wa Yanga. Mipira ya kona na cross hesabia goli tu. Kimpira Yanga imewazidi
Goliath alipigwa na David licha ya kuwa ni mrefu

Mna Azizi Ki ambaye juzi alikuwa anapewa shangwe kuhusu uwezo wake wakupitisha assist za tobo

Ina maana hawa Monastr wanacheza wakiwa wamekaa mguu sawa kiasi kusiwe na upenyo katikati ya miguu?
 
Back
Top Bottom