Naunga mkono Hoja, lakini hawa ni wepesi sanaMechi kama hizi za makundi na ugenini, point 1 tu inatosha. Ningekuwa mimi ndiyo kocha, ningejaza viungo wengi wakabaji na wachezeshaji.
Mbele angebakia Mayele peke yake kwa ajili ya counter attack.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono Hoja, lakini hawa ni wepesi sanaMechi kama hizi za makundi na ugenini, point 1 tu inatosha. Ningekuwa mimi ndiyo kocha, ningejaza viungo wengi wakabaji na wachezeshaji.
Mbele angebakia Mayele peke yake kwa ajili ya counter attack.
Hili wengi hawajui maana hapa wengi wamezaliwa early 2000'skuna timu iliwahi kimbia namna hii kwa yanga
Nini maana ya kimpira?Monastir wanatumia tu madhaifu ya wachezaji wa Yanga. Ufupi wa wachezaji wa Yanga. Mipira ya kona na cross hesabia goli tu. Kimpira Yanga imewazidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Naangalia DStv upande wa kiswahili. Mtangazaji ni Jemedari.
Sasa mpira umeenda mapumziko kasahau kuzima mic anatukana wachezaji wa Yanga.
Eti "kumamake mabeki wote mbilikimo"
Mnapesa?Huyu Oustham Outtara kwanini asije Simba afu Monastr tuwape ndugu yake?
Ya kweli haya?Naangalia DStv upande wa kiswahili. Mtangazaji ni Jemedari.
Sasa mpira umeenda mapumziko kasahau kuzima mic anatukana wachezaji wa Yanga.
Eti "kumamake mabeki wote mbilikimo"
Mkuu hapo Kuna aibu gani? We huone boli linatembea and at anytime goli zinaweza kurudi[emoji23][emoji23]Afu walisema Jangwani kutakuwa na big screen
Inamaana aibu hii watu watajionea kwa ukubwa wa kutosha
Kweli mtani, until its over, naona baada ya goli 2 Yanga wametulia. Diarra kipa mzuri sanaNaona naona Mtani. 😀
Ahsante Mtani. Wazungu wana kauli yao kwamba itiizi noti ova antili itiz ova. 😀
Hapa ndipo tunapo mkumbuka Morrison, hawa jama mtaji wao mbio tu ila akili hamna.Kisinda na Moroco ni magunia ya misumari tuliyonayo kwa sasa
Chonde Chonde mkuu mods wa sasa hawana utani kabisa Utapigwa ban best"kumamake mabeki wote mbilikimo"
Inaweza kuwa kweliFull time, mon 3 young 1
Anamaanisha kiumiliki nadhani.Nini maana ya kimpira?
Goliath alipigwa na David licha ya kuwa ni mrefuMonastir wanatumia tu madhaifu ya wachezaji wa Yanga. Ufupi wa wachezaji wa Yanga. Mipira ya kona na cross hesabia goli tu. Kimpira Yanga imewazidi
🤣🤣Kama mnavyojua sisi Wananchi sekandi hafu huwa hatupendi utani,msiende mbali wageni waalikwa, karibuni sekandi hafu.
Daima mbele 💛💚💪
Yah kweli mzeeYa kweli haya?
sasa wewe ndio unaleta uchocheziChonde Chonde mkuu mods wa sasa hawana utani kabisa Utapigwa ban best