Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Na wala siyo GuineaBongo sio Tunisie mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wala siyo GuineaBongo sio Tunisie mkuu
Unaangalia
Yule mzee wapemba kawasusa niniHazivuki boda, Msimbazi karibu sana ndiyo maana zinafika kirahisi
Achana na wale wapika data wanampoteza mdaka mishale.Mdaka mishale wetu leo kapatwa na nini wakati huku Bongo anaongoza kwa clean sheets?
Unamaanisha Injinia Hersi?Injinia fanya jambo, mida inayoyoma
Ahjumaah, hapo ulipo upo na nchi nzima? [emoji23]
Hana jipya acha avue hukoYule mzee wapemba kawasusa niniView attachment 2515205
Kwenye mchuano hii ya kimataifa sidhani kama Simba unaweza kuilinganisha na Yanga kwasababu sio mara ya kwanza imeanza hivyo na ikafika mpaka robo fainali, unless hiyo PhD iwe ni ya kununua.Baada ya Jana Simba kuleta heshima kubwa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji460]️ US Monastir[emoji739]Young Africans SC
[emoji1001] 12 February 2023
[emoji935] 11:00 Jioni TUN | 01:00 Usiku TZ
[emoji909] Uwanja wa Rades, Tunis
[emoji471] CAFCC
Kikosi cha Yanga
Usiku wa deni haukawii. Hatuondoki hapa mpaka usiku mnene tukifurahi ushindi
Timu zinaingia uwanjani
Mchezo umeanza
2' Yanga wameanza kwa kasi, Kisinda anapata nafasi ya kukimbia na mpira
10' GOOOOOOOOOOOOOO Yanga wanafungwa goli la kwanza
Mohamed Saghraoui anawatanguliza wenyeji kwa bao la mapema
16' GOOOOOOOOOOOOOOO, Yanga wameruhusu magoli mawili ndani ya dakika 16
Boubacar Traore anafunga goli la pili kwa kichwa
30' Yanga wanaonesha utulivu na kumiliki mpira
35' Wenyeji ni hatari wanapokaribia lango, wanafanya mashambulizi makali
43' Yanga wanapata faulo karibu na lango la wapinzani, shuti linapigwa linapaa juu
MAPUMZIKO
Kipindi cha pili kimeanza
47’ Mayele anapiga shuti kali kipa anapangua kwa mguu
50’ Yanga wameanza vizuri, wanamiliki mpira na kupiga pasi nyingi
57’ Moloko anachezea faulo karibu na lango la US Monastir
58’ Shuti la Azizi Ki linambabatiza kipa na kurejea uwanjani
62’ Yanga wanaendelea kujipanga wakitengeneza nafasi kadhaa
62’ Lomalisa anaingia, ametoka Kibwana
75' Yanga wanafanya mabadiliko
Anatoka Moloko anaingia Frid Mussa, anatoka Aucho anaingia Mudathiri Yahaya
Mlianza kupenda timu kabla ya kupenda mpira kwanza ndio shida ya wengi wenu.
Football ni mchezo wa makosa, ulifanya makosa unaadhibiwa, hapo hakuna John Bocco wakisema ufanye makosa na bado anashindwa kufunga, hao Waarabu wamewekeza kwenye mpira, sisi ndio tunaanza.
Hakuna mafanikio ya haraka, hata Simba amekula sana hamsa hamsa mpaka zikampa uzoefu wa hii michuano.
Vipers siyo timu mbovu iliyokalishwa na Raja, Mwarabu ukianza mechi kwake hafanyi makosa.
Kama za jana tuKuna habari gani hukoView attachment 2515203
Akikujibu unitag mkuuKama za jana tu