Huku ronaldo huku messiPia umri unapozidi kusonga mtu anakosa ile hamu ya kusubiri kwa hamu hizi mechi, kingine ni uweano wa vikosi vya timu hizi. Mmoja akiwa chini sana amsha amsha inapotea.
Acha kabisa mkuu, nadhani pia urahisi wa kuona hizi mechi unakata sana stimu. Ati kupitia Azam unaishudia El classico 😅Huku ronaldo huku messi
Huku iniesta huku modric
Huku pepe huku pique
Dah ukikosa kuichek hiyo mechi aibu utaona wewe
Barcelona piga hao MadridUnampa nani nafasi ya kuibuka na ushindi kwenye hii mechi?
Tumia FAWA NEWSni website Gani Ina stream hii mechi online pasipo kukata kata