FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

Hakuna team hapo vipers ni wabovuu..
 
Halftime Sub

Serge Mwenge anaingia kuchukua nafasi ya Abdu Karim Watambala. Kwa upande wa vipers
 
Kocha wa Vipers suti imemlemea kaivua kapiga traki
 
Haya shikilieni bomba,ila kwa jinsi mnavyokaba kwenye box lenu mnaweza wapa penati.
 
Wanapoteza mpira haraka sana, hawakabi. Kwa kifupi hawajui wafanyalo. Hili goli linarudi na kufungwa tunafungwa.
 
53' Yellow card kwa Henock Inonga, amemchezea faulo Yunus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…