covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
Hakuna team hapo vipers ni wabovuu..Simba wajitahidi kukomaa hadi dakika 90 waondoke na alama tatu, hawa Vipers kama watapata sare leo inaweza ikafanya mechi ya marudiano ikawa ngumu sana kwa Simba. Jamaa wana kasi sana kinachowangusha ni ubutu tu wa washambuliaji wao. Hivyo Simba waanzie huku huku kuwakata matumaini