MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
MtuacheTimu yote imeoza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MtuacheTimu yote imeoza
Itakuwa jamaa wanaenda kuchomoaMbona Mapigo yamoyo Yameanza Kwenda Kasi
Aisee Isitokee HiloItakuwa jamaa wanaenda kuchomoa
Jukumu la kucheza uwanjani sio la kocha, ni la wachezaji, kocha kazi yake ni kuwapa mbinu za kiuchezaji, sasa kama watu hawaruki, hawakabi, hawakimbii, unataka kocha afanye kitu gani?Ila denooJ nakukubali uko positive sana lakn Makocha watutendi haki. Timu haieleweki inacheza nini, lakini Makocha hawaoneshi kushtuka.
Sub Zingine Kwake ZinakeraJukumu la kucheza uwanjani sio la kocha, ni la wachezaji, kocha kazi yake ni kuwapa mbinu za kiuchezaji, sasa kama watu hawaruki, hawakabi, hawakimbii, unataka kocha afanye kitu gani?
Wachezaji wamechoka mnoJukumu la kucheza uwanjani sio la kocha, ni la wachezaji, kocha kazi yake ni kuwapa mbinu za kiuchezaji, sasa kama watu hawaruki, hawakabi, hawakimbii, unataka kocha afanye kitu gani?
Kiukweli hata sijui kuna nini Simba.Wachezaji wamechoka mno
Hili Nalo Mwenyewe Najiuliza SanaMbona wachezaji hawaoneshi kama mpira ni kazi yao kuna shida gani tusiyoijua?
Usikute machezaji ya Simba Yana njaa kali sanaMbona wachezaji hawaoneshi kama mpira ni kazi yao kuna shida gani tusiyoijua?
Nakazia. Haiwezekani haiwezekani haiwezekani. Hakuna cha chama wala Saidoo wala nani, wote ghafla kiwango kimeshukaWachezaji wa Simba hawastahili kulipwa mishahara, nitakuwa wa mwisho kuamini ubora wa timu yote umepungua ghafla kwa wakati mmoja, hapa kuna mchezo tunachezewa na hawa wasaliti.