FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

Ila denooJ nakukubali uko positive sana lakn Makocha watutendi haki. Timu haieleweki inacheza nini, lakini Makocha hawaoneshi kushtuka.
Jukumu la kucheza uwanjani sio la kocha, ni la wachezaji, kocha kazi yake ni kuwapa mbinu za kiuchezaji, sasa kama watu hawaruki, hawakabi, hawakimbii, unataka kocha afanye kitu gani?
 
Hawa fangasi Mpira uishe tuh makenge yanawaka moto Kwa kushikilia haka ka goli ka moya
 
Jukumu la kucheza uwanjani sio la kocha, ni la wachezaji, kocha kazi yake ni kuwapa mbinu za kiuchezaji, sasa kama watu hawaruki, hawakabi, hawakimbii, unataka kocha afanye kitu gani?
Sub Zingine Kwake Zinakera
 
Jukumu la kucheza uwanjani sio la kocha, ni la wachezaji, kocha kazi yake ni kuwapa mbinu za kiuchezaji, sasa kama watu hawaruki, hawakabi, hawakimbii, unataka kocha afanye kitu gani?
Wachezaji wamechoka mno
 
Wachezaji wa Simba hawastahili kulipwa mishahara, nitakuwa wa mwisho kuamini ubora wa timu yote umepungua ghafla kwa wakati mmoja, hapa kuna mchezo tunachezewa na hawa wasaliti.
 
55a12ae01d150b3f307abb4afef568af.jpg
 
Wachezaji wa Simba hawastahili kulipwa mishahara, nitakuwa wa mwisho kuamini ubora wa timu yote umepungua ghafla kwa wakati mmoja, hapa kuna mchezo tunachezewa na hawa wasaliti.
Nakazia. Haiwezekani haiwezekani haiwezekani. Hakuna cha chama wala Saidoo wala nani, wote ghafla kiwango kimeshuka
 
Toa Chama, Saidoo, Kibu
Weka Sakho, Banda, Baleke

Mfumo 4-3-3
 
Back
Top Bottom