zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
nijibiwe nilicho pinga mkuuAngalia tena nilipoandika Simba SC WIN alafu njoo tena
nimepinga hawez shinda kwa 3-0 ama 4-1 haya ya win mkuu yametoka wap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nijibiwe nilicho pinga mkuuAngalia tena nilipoandika Simba SC WIN alafu njoo tena
Wiki ijayo tutakuwa nafasi ya pili hawa tunawatwanga mbele na nyuma yaani nje ndani
Game ya Horoya vs Raja ni saa ngapi?
Ushindi wa muhimu zaidi utakuwa ni dhidi ya Horoya hapa Dar, inatakiwa wafungwe kwa tofauti ya mabao mawiliWalipata nafasi nyingi za kufunga lakini sijui walikuwa wanashindwa vipi?
Simply tuna matatizo ya ndani. Kuna zaidi ya Soka pale Simba Sasa hivi. Kama vipi Mangungu jiuzulu tu.Walipata nafasi nyingi za kufunga lakini sijui walikuwa wanashindwa vipi?
Nne usiku.Game ya Horoya vs Raja ni saa ngapi?
[emoji1317]
HakikaTUMEFUNGWA..!!!
Ulione eehMambwiga waliouanza uzi kwa vidole juu kama waimba taarabu now siwaoni
Ama UBC
Unaumwa calio ww 😅😅TUMEFUNGWA..!!!