FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

Pawasa anatoa Maoni kwamba Makocha wamefanya substitute nzuri Kumuingiza Nyoni Ameituliza timu.
 
Nadhani SAIDOO anahitajika kutengenezwa jinsi ya kupika pasi za magoli
 
Inabidi tujiulize Chama na Saidoo leo Wana agenda gani? Walipata nafasi za wazi za kufunga lakini wakaleta danadana. Upuuzi mtupu.
 
Back
Top Bottom