mtzedi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 5,983
- 6,171
Saa 4 kamili usiku.Inatakiwa Horoya afungwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saa 4 kamili usiku.Inatakiwa Horoya afungwe.
Hawezi kushinda zote kwake.Sio rahisi endapo horoya atashinda zote kwake.
Tena afungwe nje-ndaniInatakiwa Horoya afungwe.
Malizia kwamba inabidi afungwe kwao na ugenini ili upate ahueni.Horoya anatakiwa kufungwa
Hakika,hayaKufuzu kundi huwa ni hesabu kali, iwapo Simba sc atashinda game zake za nyumbani zilizobaki, basi ana nafasi ya kusonga mbele.
Hizohizo alizocheza hana hata alama mojaUmetazama amecheza mechi ngapi?
Yah kacheza moja alama 0 labda leo ashindeHakika,haya
Hizohizo alizocheza hana hata alama moja
Ikiwa waona ni kazi rahis tukutane kesho Bamako.Wameshinda kamoja tutaambia nini watu 😂😂😂😂😂😂😂😂
Wataachia tu, uzuri huu ni mchezo wa points.Horoya waapelekewa moto na Raja, ila wajinga wanajua kushikilia bomba.
NgpAl Ahl anapigika kwao dhidi ya Mamelod