FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Dalili zote zinaonesha Simba anamchomoa bingwa mtetezi kwa matutq. Hawa Wydad wameishakubali.
 
Ana misimamo ya kijinga sana, ingawa ni kocha mzuri.
Hana uzuri wowote boya tu... anajifanya Mourinho boya tu... anatakiwa aingize kiberenge sakho tumalize gemu anakaa na huyo mzee saidoo dakika zote hizo si ufala huo
 
Yan kwa ujumla leo simba wamevurugwa ukichanganya na wewe😆😆😆
Sio jirani yako, wala wewe, wala ndugu zake onyango
Sipati picha wangekua na hata kagoal kamoja hiko kiherehere chao😆😆😆
Pole sana dada angu
 
Kilichobakia Hawa Waarabii Wanafanya Kila Kitu Yaani.
 
Hawa waarab pamoja na kudominate mpira ila hawatengenezi nafasi kabisa.Sasa hivi wancheza na refa.

Vp leo mmejiandaa kwa matuta.......?
Duuuh hapo kwenye matuta sasa ndo penye shida,mlango ungefunguka tupate goli ingekua njema sana.
 
Saidoo anatakiwa apumzike hizi dakika za mwisho aingie Phiri au Shako.

Baadae Chama atoke (hana impact yoyote leo) aingie Nyoni, hii game ilipofikia Nyoni anacheza vizuri tu kuliko kumtegemea Chama ambae hana lolote leo.
Atasaidia Sana kwenye penati Kama matokeo yakibaki hivi.

Maana hatuna wapigaji penati kabisa
 
Saidoo anatakiwa apumzike hizi dakika za mwisho aingie Phiri au Shako.

Baadae Chama atoke (hana impact yoyote leo) aingie Nyoni, hii game ilipofikia Nyoni anacheza vizuri tu kuliko kumtegemea Chama ambae hana lolote leo.
Unakumbuka alichofanya Sakho kwenye first leg?

Phiri ni risk, hana game fitness

Nyoni naye ni mchezaji wa msimu, huwenda akiingia atacheza vizuri lakini pia akavuruga kabisa mchezo wenyewe kwa poor performance

Ni kweli Chama amekuwa akicheza chini ya ubora wake tuliozoea ila hiyo ni kutokana na kadi ambayo anayo.

Hofu ya kupigwa kadi nyekundu ndio inamfanya ashindwe kukaba vyema
 
Saidoo anatakiwa apumzike hizi dakika za mwisho aingie Phiri au Shako.

Baadae Chama atoke (hana impact yoyote leo) aingie Nyoni, hii game ilipofikia Nyoni anacheza vizuri tu kuliko kumtegemea Chama ambae hana lolote leo.
Wanategemewa kwenye matuta hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…