FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Wale wacheza Ngoma ya Ngongoti wapelekwe uwanjani, vita ya kisaikolojia
 
Amin,Amin nawaambia,,, ,, Dar es salaam young Africa hamtoamini mtakavyochukuchwa leo.
 
Gusa achia twende robo fainali
 
Sema hawa warabu ni wambovu sijapata kuona game yao ya mwisho walicheza hivyo sana utopolo washindwe wenyewe tu
Ile game ilikuwa na tension sana, mbona waliwafunga uto mechi ya kwanza vizuri tu. Leo watatulia ingawa ni kweli siyo wazuri kihivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…