OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Yanga wanapambania mipira ya kutenga. hakuna namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apelekwe kamati ya masaa 72kaseke anamtengua kiuno mtu hapa
amekuja kupiga free kick na mipra ya kona lakiniDah! Timu yangu leo imekufa kabisa kwenye eneo la kiungo! Haka Katoto ka Angola kanacheza kibishoo bishoo tu! Hakawezi hata kukaba! Kanategemea kuchukua ujiko kwenye mipira ya adhabu na kona tu.
Kiufupi hatuna kiungo namba 8! Fei Toto sijui yuko wapi! Bora hata wangemuingiza mkongwe Niyonzima. Tukishinda mechi hii basi itakua ni bahati nasibu tu. Hapa kuna sare au kufungwa kagoli kamoja!