kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,451
- 2,059
Dk 28..... Bila bila....! Kuna Watu wanalaumu matumizi mabaya Ya 'Ofisi' Yaani hapa umeme unaenda bure....! Mitimu haijielewi..!
Azam kona
Azam kona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani azam sijui wamekula maharge ya wapikona ya azam
Kufagia?Ninja Anafaa kwenda Man City
wajinga sana hawa.Yani azam sijui wamekula maharge ya wapi
Wameishiwa mbinuwanajidondoshaa yanga
hahahahahahha ninjaa kakomaaaKufagia?
Hawa hata wacheze mpaka muda wa daku hawapati goli76' Utopolo 0 - 0 Azam
kuna jitu limejiangusha kwenye 18 kutafuta penatiwanajidondoshaa yanga