FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

duma anapoteza mpira .........wa kurushwa
 
Dah! Timu yangu leo imekufa kabisa kwenye eneo la kiungo! Haka Katoto ka Angola kanacheza kibishoo bishoo tu! Hakawezi hata kukaba! Kanategemea kuchukua ujiko kwenye mipira ya adhabu na kona tu.

Kiufupi hatuna kiungo namba 8! Fei Toto sijui yuko wapi! Bora hata wangemuingiza mkongwe Niyonzima. Tukishinda mechi hii basi itakua ni bahati nasibu tu. Hapa kuna sare au kufungwa kagoli kamoja!
Imekufa kote kuanzia kikosi hadi benchi la ufundi sio eneo la kiungo peke yake
 
yanga wanatafutaa goliiiiii,,,, wanapoteza njee dk ya 65
 
yanga.... carinhooo ,,,,wanakosaa ,,,wamesukumana
 
f.toto inn ,,, sapong njee

asante kocha
 
Back
Top Bottom