FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

Kilichokuwa kinasubiriwa kinetimia !
Yanga wanaelejea kupoteza matumaini ya Ubi gwa na wakiteleza hats ushi di was Pili.
Hii inatokea baada ya Yanga kuongoza Ligi kwa muda mrefu ,Tena kwa Tambo!
Hata hivyo ,TFF kushindwa kupanga ratiba vizuri ku accomadate timu kubwa ..Mnyama Simba kwenye ratiba ili asiwe na viporo vingi ndio mzizi was fitna! ...ambwo umewaachia Yanga kuongoza Ligi kwa niaba ya ....[emoji79][emoji79]
Viporo hutokana na ushiriki wa timu kwenye michuano ya nje na kwetu husumbua sana kutokana na kutokuwa na umadhubuti wa kalenda ya ligi zetu bado hata kwa upande wa CAF achilia mbali ligi za ndani kuwa wazuri kwenye ratiba kutokana na ligi nyingi za Afrika kuwa na changamoto ya kalenda zao.
 
Yanga hawawezi tena kufika kileleni, labda wapige nyeto! 🤣
 
Shurti utani kufanana na kufaana. Baada ya ubingwa wa Epl na fainali ya CAF, offer ya zanzibar ipo pale pale,

Kwioo hiyo kwioo😂😂😂
Hahahaa. Naona furaha imezidi Mtani hadi unauita ubingwa wa EPL badala ya VPL. LOL.

😂😂😂😂
 
Hata sijui aisee! Maana hata Fei Toto ndiyo namuona leo. Shikalo ni majanga kwa mipira ya mbali na ile ya kona! Na hana kabisa timing nzuri ya kutokea mipira.

Msimu ujao ni bora tu timu ikasajili magolikipa wa ndani! Wako wengi tu wanaofanya vizuri kuliko huyu Shikalo. Kama timu itafuzu kucheza mashindano ya kimataifa, halafu mlangoni akaachwa Shikalo! Hakika yatatukuta yale ya watani zetu msimu uleee wa hamsa hamsa.
Hapo mwisho kwanini usiseme yatatukuta Yale Yale ya Raja Casablanca?au umesahau kuwa ulipigwa 6 na Raja?unayo reference inayokuhusu wewe mwenyewe mjomba.Halafu ile ya Simba alipigwa Tano lakini unajua alienda Robo fainali?
 
IMG-20210426-WA0025.jpg
 
Back
Top Bottom