SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Ingalao sasa mnaanza kutia akili na kujua kuwa kumbe hamjui. Ni hatua nzuri kuelekea kujitambua.Hata sijui aisee! Maana hata Fei Toto ndiyo namuona leo. Shikalo ni majanga kwa mipira ya mbali na ile ya kona! Na hana kabisa timing nzuri ya kutokea mipira.
Msimu ujao ni bora tu timu ikasajili magolikipa wa ndani! Wako wengi tu wanaofanya vizuri kuliko huyu Shikalo. Kama timu itafuzu kucheza mashindano ya kimataifa, halafu mlangoni akaachwa Shikalo! Hakika yatatukuta yale ya watani zetu msimu uleee wa hamsa hamsa.