FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

Kilichokuwa kinasubiriwa kinetimia !
Yanga wanaelejea kupoteza matumaini ya Ubi gwa na wakiteleza hats ushi di was Pili.
Hii inatokea baada ya Yanga kuongoza Ligi kwa muda mrefu ,Tena kwa Tambo!
Hata hivyo ,TFF kushindwa kupanga ratiba vizuri ku accomadate timu kubwa ..Mnyama Simba kwenye ratiba ili asiwe na viporo vingi ndio mzizi was fitna! ...ambwo umewaachia Yanga kuongoza Ligi kwa niaba ya ....🙀🙀
 
IMG_20210425_234239_013.JPG
 
Kila timu imecheza mechi zake akuna lawama.Tena wa kulalamika wangekuwa ni Simba aliekuwa na mechi ngumu za kimataifa kupelekea wacheza kupoteza nguvunyingi mpaka kushindwa kufanya vema mechi za ligi.

Yanga hawakuwa na mechi za kimataifa kama ilivyo Simba lakini wanalalamika kama demu wa Buza.
 
Kilichokuwa kinasubiriwa kinetimia !
Yanga wanaelejea kupoteza matumaini ya Ubi gwa na wakiteleza hats ushi di was Pili.
Hii inatokea baada ya Yanga kuongoza Ligi kwa muda mrefu ,Tena kwa Tambo!
Hata hivyo ,TFF kushindwa kupanga ratiba vizuri ku accomadate timu kubwa ..Mnyama Simba kwenye ratiba ili asiwe na viporo vingi ndio mzizi was fitna! ...ambwo umewaachia Yanga kuongoza Ligi kwa niaba ya ....🙀🙀
Simu yako ina mafua nini mzee?
 
Lait kama anagekua mtangazaji ni baraka mpenja mambo yangekua hivi
dakika za kikatili
Prince dube mkatili
Dar yanga Africa ana wakatili
Whaooo
what a goal
what a shoot
what a rocket
Wananchi ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom