Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Wapi vikosi??
Kwa hiki kikosi, hata itokee tukafungwa, sitalalamika! Kimekamilika aisee! Bado Farid Musa tu wa kuja kubadilisha mchezo hapo baadae.
Hakuna Mpira wa namna hiyo mkuuKwa kuzingatia kikosi cha Simba Sc kuelekea hii mechi, kuna haja ya kuangalia namna ya kupata kocha mpya kwaajili ya msimu ujao.
Hii mechi Simba Sc akichomoka ni kw bahati sana.
Ujuaji sio mzuri.Hakuna Mpira wa namna hiyo mkuu
Mechi saa ngap mkuuKwa mvua hii, yanga 2 simba 4
Kiungo Punda [emoji1787][emoji1787]Eti Midfielder Wao Mzamiru Apo Kati [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hawa Mapema Leo.