Huwezi kusikia hii kauli tena. Bora Kibu huwa anasumbua.Eti tuna mpanzu ππ
Hujui mpiragoli lile ni offsaidi.
Naomba Usimtag ephen_ Wanguuu kipenzi cha β€οΈ Wanguuu pasipo au kabla ya kupata kibali kutoka kwangu. Au hujui huyo ni wangu kwa kila kitu? Hujui kuwa Moyo wangu kabeba yeye na kuupakata Mikononi kama Boga? Usilete utani . Utajikuta Upo Polisi unachezea kipigo kikali kwa Lungu kubwa la Mkanye Mwanao.Wanaume walikuwa Aviki Town kuandaa timu alafu wenzetu walikuwa misri kuandaana
Cc ephen_
πππHuwezi kusikia hii kauli tena. Bora Kibu huwa anasumbua.
Wasisahau kuscan jezi piaHaya nyie endeleeni kujenga timu.
Lucas wangu! Nani kakuuzia vpn?Naomba Usimtag ephen_ Wanguuu kipenzi cha β€οΈ Wanguuu pasipo au kabla ya kupata kibali kutoka kwangu. Au hujui huyo ni wangu kwa kila kitu? Hujui kuwa Moyo wangu kabeba yeye na kuupakata Mikononi kama Boga? Usilete utani . Utajikuta Upo Polisi unachezea kipigo kikali kwa Lungu kubwa la Mkanye Mwanao.
Lucas akee ataki nikutag jamani π π πLucas wangu! Nani kakuuzia vpn?
Abiria chunga mzigo wako, anachunga mzigo wake kaa kwa kutuliaLucas akee ataki nikutag jamani π π π
Siku mkiipa heshima yake Yanga na kujua mnakosea wapi,na ndio siku mtakapopata dawa ya kucompete na Yangakiuhalisia hii mechi ilipangwa yanga washinde bila usbishi goli la offside ya wazi refa anapeta
Anaogopa nitamuibia πππ mzigo ππAbiria chunga mzigo wako, anachunga mzigo wake kaa kwa kutulia
Kuna uzi wa mshana nilikutagAnaogopa nitamuibia πππ mzigo ππ
Nipe link sijauona Leo nilikuwa Sana bize uwanjani napiga kelele tu πππKuna uzi wa mshana nilikutag
https://www.jamiiforums.com/threads/tusimame-na-jf-yetu-kipindi-hiki-kigumu.2387883/Nipe link sijauona Leo nilikuwa Sana bize uwanjani napiga kelele tu πππ
KWA NINI SASA ULIKUWA UNAPIGA KELELE KAMA MBWA AKIBWEKA?Nipe link sijauona Leo nilikuwa Sana bize uwanjani napiga kelele tu πππ
Tena acha kabisa hata kujibu jibu alichoandika ephen_ wangu waridi wa β€οΈ Wanguuu.Lucas akee ataki nikutag jamani π π π
Tena nauchunga Mzigo Wanguuu kwa uangalifu na umakini Mkubwa sana. ephen_ Wangu. wewe ndiye furaha YanguAbiria chunga mzigo wako, anachunga mzigo wake kaa kwa kutulia