FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Kinachowagharimu yanga ni kuingia kwenye ligi ya mabingwa wakiwa na visheni ya kuishiq makundi.

Yani bingwa unaingia katika mashindano na mabingwa wanzako unavision za kufeli. Lengo kuu linatakiwe liwe kuchukua kombe. Hayo mengine yabaki matokeo.

Kwa kikosi hikihiki kikibadilishiwa visheni kinauwezo wa kufunga timu zote za haya mashindano.
 
Hawezi mfunga Al Ahly kwake,na anatikwa Ashinde hizo 3 sio kutoa sare yeyote au kufungwa yeyote hapo itakuwa Kwa heri.

Wiki ijayo ni Kwa Madeama
 

Umeangalia mpira?
Umeangalia game ya kwanza na hi vizuri?
Kwa uchezaji wa yanga unapata vip ujasili wa kusema hawana vision ?

Kua na version ni kufungwa pekee?
 
Simba ugenini ni kibonde wa hatari, alikuwa anapigwa hamsa ugenini anakuja kuchomoa mechi za kwa Mkapa. Simba ya kuchomoa kwa Mkapa ilishaisha sasa imebakia historia. Tofauti ya Yanga na Simba kwenye haya mashindano ni kuwa, wakati Yanga amrshacheza na wababe wote wa group, Simba Simba bado hajakutana nao.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hawezi mfunga Al Ahly kwake,na anatikwa Ashinde hizo 3 sio kutoa sare yeyote au kufungwa yeyote hapo itakuwa Kwa heri.

Wiki ijayo ni Kwa Madeama
So ww ndio kwa hii timu yako iliyo choka mwili na akili unaweza kupata matokeo kwa Asec na Wydad...... yaani mnavyo zitiia ugumu mechi za wenzenu ,mtazani nyinyi mna timu ya maana.Kumbe mnajitafuta sasa hivi hata hamjielewi.
 
We jamaa una akili timamu?
 
Umeangalia mpira?
Umeangalia game ya kwanza na hi vizuri?
Kwa uchezaji wa yanga unapata vip ujasili wa kusema hawana version?

Kua na version ni kufungwa pekee?
version? au umemaanisha vision?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…